Mali ya asile si lazima iwe twiga, tembo, dhahabu au almasi. Hata hawa wadudu ni mali yetu ya asili.
Tunapoteketeza misitu na vyanzo vya maji ,wadu hawa wanaopendeza pia wanapotea.
We angalia siku hizi: Ni lini ulimuona CHINGA, KITOFYALA, KASOZI, LWIVI (aina ya KAZILA NJEMO) au KUWI. Maana hata NGEDA(elegant grasshoper) wanapotea.
Picha za baadhi ya vivutio vya kwetu.
Nilipiga picha hizi Mei , 2013 katika kaeneo tu kadogo nyumbani kwa mama.
Npumbuzigwe.
Moja ya aina nyingi za Makunguza
Thursday, 9 January 2014
Tuesday, 7 January 2014
Kikao cha Kijiji, Mei 2013. Je matokeo niaje?
Mwaka jana kilifanyika kikao pale Kisatuni kuzungumzia suala la wageni kuvamia hifadhi ya kijiji ,sehemu za Pela hadi mtoni. Wageni hao waliuziwa mashamba au misitu hiyo na baadhi ya viongozi wa kijiji. Lakini kati yao hakukuwa na hata mmoja aliyekuwa na hati miliki ya ardhi. Viongozi wahusika waliingia mtini siku hiyo ya kikao.
Wanakijiji waliwakomalia wageni hao kuwa wavune mazao yao kisha waishie au watafute maeneo halali.
Je suala hili utekelezaji wake umefikia wapi? Wabwanga mbuli ino mwimanya, hegu?!!
Baadi ya picha siku ya kika hicho.
Masudi Mbalazi akimwaga hoja zake.
Juma Mgaza aliendesha kikao hicho.
Mzee Mtiga akitoa hoja yake.
Mmoja wa wageni hao ajijitetea.

Thursday, 12 September 2013
Sunday, 16 December 2012
Home sweet home.
Boda boda.
Usafiri wa haraka lakini ni lazima tuzingatia usalama wake. 'Mshikaki' noma. Hahahahaha
Wajomba.
Hapa naona watu walishapata ulaji. Sasa hili kalafati lina kazi gani. Jamani tuwajibike, kwani hii ndio kibindu yetu.
Kose uko chaita chikauya.
Mze Sambung'o na wajukuu.
Yombo kwa mama.

Sunday, 4 March 2012
Matokeo ya Kidato cha Nne Kibindu. Inasikitisha.
Kwa kweli inabidi wazazi waamke kuhusu suala hili.
Pamoja na mipango mibovu ya serikali ya kuanzisha shule isiyokuwa na walimu wala vifaa, wakazi wa Kibindu inabidi tugangamale ili watoto wetu wapate elimu wanayostahili.
Wazazi wengi hulipa karo lakini hawafuatilii maendeleo ya vijana wao. walimu wanakula posho bila ya kufanya kazi.
matokeo ya mtihani kibindu
Walimu anazunguuka tu kisatuni na likizo za kila wakati wakati watoto wanabaki tu wakishangaa na kupoteza muda.
Wazazi amkeni,
Pesa ukitoa , basi fuatilia kisomo cha mwana wako.
Washikeni mashati walimu na muwaulize kwanini matokeo yamekuwa kichekesho namna hii.
Darasa zima linaposhidwa kufanya vizuri, basi tatizo sio watoto bali ni mwalimu.
Suala hili inabidi uongozi wa kijiji ,walimu na wazazi lazima walishughilikie vinginevyo Kibindu yetu inakuwa kichekesho.
Elimu ni ufunguo wa maisha, kuupoteza ufunguo huo ni sawa na kujitia kitanzi.

Monday, 6 June 2011
Mtu kwao.
wagosi wa ndima woka manpemba.
Milima ya kwa Nkanga ikionekana toka kibindu
Manzari ya mtaa wa Salama kuoka shuleni
Vijana wetu wakielekea shule,
Taifa la kesho
My nephews. Love you
Kipepeo ni wengi sana kibindu
Korosho, cashewnut
The sky at night, mtaa wa Yombo kwa Maua
My niece
wadudu wetu
mjusi, the lizard. one of the small variety in the village
Njia ya kwenda shule

Friday, 21 January 2011
Picha kutoka Kibindu
Hizi picha zilipigwa na Juma Mgweno siku ya hitma ya Shekh Juma Saidi . Ilikuwa ni siku ambayo Mzee M J Kisondoka na Ustaadh Changuba walikabidhiwa madaraka ya kuongoza maswala ya dini Kibindu.
Mungu ibariki Kibindu.
Mungu ibariki Kibindu.
Subscribe to:
Posts (Atom)