Tuesday, 7 January 2014

Kikao cha Kijiji, Mei 2013. Je matokeo niaje?

Mwaka jana kilifanyika kikao pale Kisatuni kuzungumzia suala la wageni kuvamia hifadhi ya kijiji ,sehemu za Pela hadi mtoni. Wageni hao waliuziwa mashamba au misitu hiyo na baadhi ya viongozi wa kijiji. Lakini kati yao hakukuwa na hata mmoja aliyekuwa na hati miliki ya ardhi. Viongozi wahusika waliingia mtini siku hiyo ya kikao.

Wanakijiji waliwakomalia wageni hao kuwa wavune mazao yao kisha waishie au watafute maeneo halali.
Je suala hili utekelezaji wake umefikia wapi? Wabwanga mbuli ino mwimanya, hegu?!!

Baadi ya picha siku ya kika hicho.


 Masudi Mbalazi akimwaga hoja zake.
 Juma Mgaza aliendesha kikao hicho.


 Mzee Mtiga akitoa hoja yake.


Mmoja wa wageni hao ajijitetea.

Thursday, 12 September 2013

Kibindu Oyee!

Time to bring back the juice.

 Watoto wakifurahia muda wa mapumziko.


Nikiwa Darasani na watoto wa darasa la Vidudu au Nursery. Hapa wakionyesha penseli nilizowazawadia.

 Michezo
 Happy happy happy


Sunday, 16 December 2012

Home sweet home.

 Boda boda.
Usafiri wa haraka lakini ni lazima tuzingatia usalama wake. 'Mshikaki' noma.  Hahahahaha

 Wajomba.

 Hapa naona watu walishapata ulaji. Sasa hili kalafati lina kazi gani. Jamani tuwajibike, kwani hii ndio kibindu yetu.
Kose uko chaita chikauya.

 Mze Sambung'o na wajukuu.

Yombo kwa mama.

Sunday, 4 March 2012

Matokeo ya Kidato cha Nne Kibindu. Inasikitisha.

Kwa kweli inabidi wazazi waamke kuhusu suala hili.
Pamoja na mipango mibovu ya serikali ya kuanzisha shule isiyokuwa na walimu wala vifaa, wakazi wa Kibindu inabidi tugangamale ili watoto wetu wapate elimu wanayostahili.
    Wazazi wengi hulipa karo lakini hawafuatilii maendeleo ya vijana wao. walimu wanakula posho bila ya kufanya kazi.

matokeo ya mtihani kibindu

Walimu anazunguuka tu kisatuni na likizo za kila wakati wakati watoto wanabaki tu wakishangaa na kupoteza muda.
Wazazi amkeni,
Pesa ukitoa , basi fuatilia kisomo cha mwana wako.
Washikeni mashati walimu na muwaulize kwanini matokeo yamekuwa kichekesho namna hii.
Darasa zima linaposhidwa kufanya vizuri, basi tatizo sio watoto bali ni mwalimu.
     Suala hili inabidi uongozi wa kijiji ,walimu na wazazi lazima walishughilikie  vinginevyo Kibindu yetu inakuwa kichekesho.

Elimu ni ufunguo wa maisha, kuupoteza ufunguo huo ni sawa na kujitia kitanzi.

Monday, 6 June 2011

Mtu kwao.

 wagosi wa ndima woka manpemba.

 Milima ya kwa Nkanga ikionekana toka kibindu

 Manzari ya mtaa wa Salama kuoka shuleni

 Vijana wetu wakielekea shule,

 Taifa la kesho

 My nephews. Love you
 Kipepeo ni wengi sana kibindu

 Korosho, cashewnut

 The sky at night, mtaa wa Yombo kwa Maua

 My niece

 wadudu wetu

 mjusi, the lizard. one of the small variety in the village
 Njia ya kwenda shule

Friday, 21 January 2011

Picha kutoka Kibindu

Hizi picha zilipigwa na Juma Mgweno siku ya hitma ya Shekh Juma Saidi . Ilikuwa ni siku ambayo  Mzee M J Kisondoka na Ustaadh Changuba walikabidhiwa madaraka ya kuongoza maswala ya dini Kibindu.
Mungu ibariki Kibindu.





Monday, 3 January 2011

Happy New Year. Kheri Ya Mwaka Mpya

Wishing  my People in Kibindu and  beyond, a happy and fresh start for 2011.
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.