Friday, 21 January 2011

Picha kutoka Kibindu

Hizi picha zilipigwa na Juma Mgweno siku ya hitma ya Shekh Juma Saidi . Ilikuwa ni siku ambayo  Mzee M J Kisondoka na Ustaadh Changuba walikabidhiwa madaraka ya kuongoza maswala ya dini Kibindu.
Mungu ibariki Kibindu.





Monday, 3 January 2011

Happy New Year. Kheri Ya Mwaka Mpya

Wishing  my People in Kibindu and  beyond, a happy and fresh start for 2011.
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.

Friday, 5 November 2010

We will Always remember You!

In Memory of: 
  • Mr Kilakala
  • Babu mzee  Changoma
  • and all our lost loved ones from Kibindu.
We will always miss you.  







                                       Mkombozi, Lugome na Chambuli.

Wednesday, 3 November 2010

Picha za Zamani

Vijana mpoooo! What happened to the movement?
Je unaweza kusaidiaje jamii yako? Kutoa na kujitolea ni moyo, usambe ni utajiri. Kama wenzetu wanaweza, kwanini sisi tusiweze. Be a proud son or daughter of Kibindu.

Masukuzi n'mbago za luvi.












Hakika Tunaweza.

Tuesday, 26 October 2010

Let the kids play.

 Watoto wakisakata kabumbu wakati wa mapumziko.
Sports is a very important part of education.
 Tudumishe michezo mashuleni.

Kids at school. Play time.

Je, Ulijua habari hizi?

Pesa za mradi huu zilitengwa na natumaini watoto wetu walifaidika au wanafaidika.  Mimi sijui kinachoendelea , bali nilifurahi kusikia habari za maendeleo kama haya mtandaoni..

Wa-kibindu mpo ?
Rain water harvesting project in kibindu