Vijana mpoooo! What happened to the movement?
Je unaweza kusaidiaje jamii yako? Kutoa na kujitolea ni moyo, usambe ni utajiri. Kama wenzetu wanaweza, kwanini sisi tusiweze. Be a proud son or daughter of Kibindu.
Pesa za mradi huu zilitengwa na natumaini watoto wetu walifaidika au wanafaidika. Mimi sijui kinachoendelea , bali nilifurahi kusikia habari za maendeleo kama haya mtandaoni..
God bless our village and its people,
May love be 'King' among us,
May those who wish to our demise get weak and weak.
In togetherness, we can only get stronger.
Fitina na Majungu si kitu chema. Hii ni Kibindu ya watu; na sisi ndio, watu wenyewe .